Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Unaanza ln hyo salamuAtazikimbia hizo salam zitakavyomwagika
Unaanza ln hyo salamuAtazikimbia hizo salam zitakavyomwagika
Heshima ykoMbaya wanguu nionee ankoo binamu
Nikinywa utalipia ww binamu...ujue bhinamu, watu hawajui, leo nawaambia sasa, yaani wewe ndo ndugu yangu kabisa wa ukweli. Unaniwazia mambo mazuri sana, kwa hii meseji nidai kinywaji (ila kama utasema bia, onyesha kitambulisho cha mpigakura ndo unywe)
ninunulie hata juisi cola tu,mambo ya vitambulisho me cyawezi

Nashukuru anko mi nipo najenga viwanda tuSiku nyingi zijaweka nyimbo za Jumapili, isiwe taabu maana bando nalotumia ni la manati nina pasiwedi ya jirani yeye ana waifai so akilala najidownlodia mavitu
Nakuwekea songi hili kwa niaba ya aunt yangu Shunie binamu, Tumosa marybaby , Numbisa (asante kwa somo la kikwapa, viatu na mambo yetu ya asili). Nimewataja ninyi maana ni watu wazuri na manlifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Mndali ndanyelakakomu nimekuona mdau, longitaimu hujaonekana ila ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati, asante anko Lyon Lee , ningendako , Behaviourist muzee ya kupenda chura, mtu chake kula monde mkuu jtatu siku ya kazi na wewe mkazi wa Kigamboni unayetaka kwenda Znz
Hahaha...ujue bhinamu, watu hawajui, leo nawaambia sasa, yaani wewe ndo ndugu yangu kabisa wa ukweli. Unaniwazia mambo mazuri sana, kwa hii meseji nidai kinywaji (ila kama utasema bia, onyesha kitambulisho cha mpigakura ndo unywe)
WoiiiiiiUnaanza ln hyo salamu
Karibu mpenziNipo best yake.
Miss u piaaaaa
Birthday party wapiUjue we baba wawili mm mtu mzima sana sasa nakupaje shikamoo under18 jamani mm nafikia 50 mwezi ujao
AiseeeeGOAL Man City 6-1 Southampton (90+1 mins)
Nmeipokea kwa mikono miwiliUndugu hazina yetuTumosa nakusalimia popote ulipo
![]()
![]()

Mkuu mm na hizo mambo tofauti na uzee huu na kumwagiwa maji wapi na wapiBirthday party wapi