Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha Shunie unapenda ukubwa,,,utafikia tu huku tulipofika sisi
Hahahaha mm nimesoma shule ya kidumu na fagio la chelewa saa nne mauwa ya saa nne watu mnakaa chini woiii usinikumbushe machungu ujue halafu naanzaje kumsomesha mtoto wangu kayumba mama akee nisome kayumba na yy nitajinyima mwanangu asome vizuri
 
Shunie mhenga kumbe,,

Ya kweli haya dada angu Tumosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom