marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Kwa makini kbs nilikua dawati la mbeleMmesikia jamani
Kwa makini kbs nilikua dawati la mbeleMmesikia jamani
Kweli wikiendi yako ilikua kimwili zaidiEmoj ziko wapiiii tuamini
Mtt wa baba mzazi baba mwenye daslam yake
Kwangu poa sn km unavyoona leo nimekua mlinzi humuEwaaa hapo sawa za uzima nzuri mama sijui kwako
Km daudi ya kolomijeHahhahah unaanzaje kujikataa na umebatizwa kabisa
..yupo na dada ambaye kikwapa chake kinavuja, nilikuwa nafuatilia somo la kikwapa toka kwa Numbisa

Umesahau kujiweka na ww ndani,,asnt kwa nyimbo ya J2Siku nyingi zijaweka nyimbo za Jumapili, isiwe taabu maana bando nalotumia ni la manati nina pasiwedi ya jirani yeye ana waifai so akilala najidownlodia mavitu
Nakuwekea songi hili kwa niaba ya aunt yangu Shunie binamu, Tumosa marybaby , Numbisa (asante kwa somo la kikwapa, viatu na mambo yetu ya asili). Nimewataja ninyi maana ni watu wazuri na manlifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Mndali ndanyelakakomu nimekuona mdau, longitaimu hujaonekana ila ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati, asante anko Lyon Lee , ningendako , Behaviourist muzee ya kupenda chura, mtu chake kula monde mkuu jtatu siku ya kazi na wewe mkazi wa Kigamboni unayetaka kwenda Znz
Kwahiyo unampelekea ujumbe eenh..yupo na dada ambaye kikwapa chake kinavuja, nilikuwa nafuatilia somo la kikwapa toka kwa Numbisa
Wewe si ndio umenikimbiaWooooooiiiiii hiviii hatujakimbiana
Anakuharibu jamani umekuja humu mlokole kabisa hata kunyonywa hujui![]()
kbs yaani,,inabidi ajieleze
Asante binamu huyo mkazi wa kigamboni anayetaka kwenda znz ni anaishi znz huyo binamuSiku nyingi zijaweka nyimbo za Jumapili, isiwe taabu maana bando nalotumia ni la manati nina pasiwedi ya jirani yeye ana waifai so akilala najidownlodia mavitu
Nakuwekea songi hili kwa niaba ya aunt yangu Shunie binamu, Tumosa marybaby , Numbisa (asante kwa somo la kikwapa, viatu na mambo yetu ya asili). Nimewataja ninyi maana ni watu wazuri na manlifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Mndali ndanyelakakomu nimekuona mdau, longitaimu hujaonekana ila ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati, asante anko Lyon Lee , ningendako , Behaviourist muzee ya kupenda chura, mtu chake kula monde mkuu jtatu siku ya kazi na wewe mkazi wa Kigamboni unayetaka kwenda Znz
SanaaaaaaaJ2 ya leo imekua njema ati![]()
Mwamkieni jamaniAtazikimbia hizo salam zitakavyomwagika