Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mbaya wanguu nionee ankoo binamu
![]()
![]()
![]()
Ameni
![]()
![]()
![]()
Ameni
Nakupenda mm binamu yngu
Uwe na jumapili njema
![]()
![]()
Tumosa umekula nini asubuhi, ,? Naona unawahi yajayo
Kilichokuleta hapa nin ankoo tena kwa kukusisitizaa nakuita mkuu anko binamuu...itakuwa kiporo cha kande
Mambo yanayoharibu katika urembo ni pamoja na kutokuangalia fiziki yaani kutofanya mazoezi. Hata kama hakuna mtu ambaye atakuona kuacha kufanya mazoezi, kutojali usafi kunatibua muonekano wako na kuondoa kujiamini.
Kitu kingine ambacho watu huwa hawakijali ni kusafisha na kurekebisha meno yao. Unapotabasamu kitu cha kwanza kuonekana kwa watu ni meno yako. basi jaribu kuyajali kidogo. yasafishe na hakikisha yanapendeza.
Ilikua inahitajika km tuu ningekua nimewahi misa leo,lkn kwa vile sikwenda bc haihitajiki tena Binam![]()
Nakusalimiaaa sanaaa nionee auntie...aiseee, hayaumeniweza kwa jibu murua kabisa
![]()
Wewe ushaanzaaa ili unikomoe kwa my baby ...sasa nakwambia abj sijui abc si alikupa namba na buku jero ulimpaaa...nimetokea tu anko, wewe hata ukiniita mkuu sijali maana ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunisaidia kupata namba. Oh, nimekumbuka kitu, hebu mrudishe ABJ wetu
Mpatie tuu utamfundisha hata ya wiki iliyopita anapenda sana mafundisho huyo![]()
![]()
![]()
Kama wewe ulivoyafanyaa kwa kuagaa kwamba unaendaa ile sehemu kumbe umekachaaa ila anko wangu unajijuaa wewe...nakusalimia pia kwa salamu nyingi, aunt Shunie nafikir wikend hii anafanya mambo ya kimwili zaidi, hata sidhani kama mambo ya kiroho kafanya leo jumapili. Ila akija msimuambie kuwa nimemuwazia hivi