Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Hahaha wewe sikupi shikamoo mmShunie mhenga kijana,,anataka shikamoo aunti
Hahaha wewe sikupi shikamoo mmShunie mhenga kijana,,anataka shikamoo aunti
Utakuwa umenidhulumu aisee,,na uzee wote huu,,mvi kila sehemu na haya mapengo uninyime salamu yangu..Mungu anakuona shunieHahaha wewe sikupi shikamoo mm
IndeedHeshima Ya Mwanaume Ni Idadi Ya Mafanikio Yake Sio Idadi Ya Wanawake Alionao!!
Mnh!Hapana kaka chige nilijisemea tu hata sizijui hizo six packs
Nilikuambia nakuja kukuletea weekend, sikukuona tena! Ushazoea mafirinyongo ya kimasai wewe!Akikausha nunua wewe kaka chige
Basi sawa binamu....Kaka binamu yote yako kaka chige
Unamcheka binamu yangu Shunie, au? Sikuelewi ujue!Hahahaaa
Shkamoo,,Unaanza ln hyo salamu