Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,593
Ahsante pia ,tumalizie jpili kwa Anko Shayo ,siku njema
Asante sana jamani na kwako pia
Asante sana jamani na kwako pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeshindwa mm.Ushindweeeee hizi shikamoo zenu zitanikimbiza humu
[emoji134] [emoji134]...salamu nimeipokea kwa uzuri kabisa, na ninairudisha kwa busu na kumbatio sasa nawe usiwe kama mkara, onesha ushirikiano kama askari shirikishi
Kiroho safi[emoji50]Acha tu niwe msaliti
Konkiiiii konkiiiiiii master mnamfelishaaa
Uwezekano wa kujikataa km ba....te si upo lkn.?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya majina yana kitu
Eeeenh yamekuwa haya
Ewaaa hapo sawa za uzima nzuri mama sijui kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeshindwa mm.
Habari ya uzima, ,?
Kazi kweli kweli
Hahhahah unaanzaje kujikataa na umebatizwa kabisaUwezekano wa kujikataa km ba....te si upo lkn.?
Nifanye mchakato
Kwahiyo jana ndio ukanikimbia eenh kuwahi next doorKonkiiiii konkiiiiiii master mnamfelishaaa
..yupo na dada ambaye kikwapa chake kinavuja, nilikuwa nafuatilia somo la kikwapa toka kwa NumbisaWaziri njenje yupo na nani huyo binamu
Undugu hazina yetu[emoji178] Tumosa nakusalimia popote ulipo[emoji113] [emoji113]Khaaaaa
Naomba nikupe no yangu
Wooooooiiiiii hiviii hatujakimbianaKwahiyo jana ndio ukanikimbia eenh kuwahi next door
J2 ya leo imekua njema ati[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atazikimbia hizo salam zitakavyomwagika