Makapuku Forum

Makapuku Forum

Human waste must be managed well

DrLFHM-WsAEBH4U.jpg
 
Siku nyingi zijaweka nyimbo za Jumapili, isiwe taabu maana bando nalotumia ni la manati nina pasiwedi ya jirani yeye ana waifai so akilala najidownlodia mavitu

Nakuwekea songi hili kwa niaba ya aunt yangu Shunie binamu, Tumosa marybaby , Numbisa (asante kwa somo la kikwapa, viatu na mambo yetu ya asili). Nimewataja ninyi maana ni watu wazuri na manlifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Mndali ndanyelakakomu nimekuona mdau, longitaimu hujaonekana ila ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati, asante anko Lyon Lee , ningendako , Behaviourist muzee ya kupenda chura, mtu chake kula monde mkuu jtatu siku ya kazi na wewe mkazi wa Kigamboni unayetaka kwenda Znz

Asante sana binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom