Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
NimeonaUsimwambie Th Name
![]()
![]()
![]()
![]()
........
NimeonaUsimwambie Th Name
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Unaniangusha brother.Ngumu kuzoea.
Weee kumbusha tu, kwani sh. ngapi bhana.Brother usitake nikukumbushe machungu ya kumegewa.
Ndo mnataka sababu leo kwako kesho kwa mwenzio. Zamani ukilipa mahari ni pombe na mnainywa wote baada ya hapo imekwisha! Ukimtesa mwanangu anatoka hudai kitu. nenda kwa wakurya anaoa ng'ombe mia si amenunua mtumwa?? Who decides all these? Eti mababa. Kweli wewe baba una akili timamu unajua mkwe wako ndo anakuwa sehemu ya familia yako unamtoza yote hayo? Ndo maana wakwe wengine wanawatukana baba wake zao sababu waliwauza watoto wao.Kwani huyo mwanamke wa dhahabu ama vipi.!!
Vitu vyote hivi vya kazi gani.
Basi itakuwa GovindoHapana asee, sio kweli.
KumbeHahaha![]()
![]()
sitamwambia
Ntajitahidi, usijali kaka.Unaniangusha brother.
Karibu sanaDuh hii thread inakwenda aiseee
Makapuku mmekuwa mabilionea now...
sasa si mbadilishe jina?
BabeKumbe
Chakula sawa ila mpenzi wangu hapanaKizuri kula na wenzio
![]()
![]()
![]()
.............
Ni njema shem, tunamshukuru Mungu.Jion ni njema shem
Habar ya kaz??
NaonaBabe
Asante kaka.Karibu sana.
Once a KapukuDuh hii thread inakwenda aiseee
Makapuku mmekuwa mabilionea now...
sasa si mbadilishe jina?