EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Salama kabisa shem, habari ya jioni?Humu ndani kwema???
Salama kabisa shem, habari ya jioni?Humu ndani kwema???
Nzuri wifi yanguKwema wifi za mihangaiko?
President usitumie utawala wako kunyang'anya wake za watu huyu ni mke wa mtu kabisa
mumewe ni naniNilisikia hii ndiyo imesababisha ukimbiwe na warembo.Hahahahaaa.... Usidanganywe wewe, ofisi ipo imara na wala haiwezi kutikiswa na mtu.
Warembo kama akina nani kwa mfano??Kwani brother umesahau kwamba mimi ni asali ya warembo.
Hahahahahaha
Brother usitake nikukumbushe machungu ya kumegewa.Warembo kama akina nani kwa mfano??
KhaaNajua wenye vyombo vyao humu wananiogopa kama UKOMA,kwanza mpaka sasa nimevunja Ndoa zaidi mbili hapa.

Siku moja ntakuja hapo.Njoo Tanga brother.
Jion ni njema shemSalama kabisa shem, habari ya jioni?
Natafakari ule msemo wako sasa....mbona waguna mpendwa?
Huyu mwana sheria ni hatari!Hahahahahaha
SenkyuuuHongera sanaaa
Karibu sana.Siku moja ntakuja hapo.
Ongeza na sumu ya Kunguni tafadhali.Ikibidi wabugie na sumu ya mende.
Huo sasa uharibifuNagawanisha hadi vikombe
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Heeee!![]()
Mbombo jilipo
.........
Hongera shem pokea tajiNamastee![]()
![]()

Ni nzuri pia, nafurahi siku imeisha vyemaNzuri wifi yangu
Habar ya wewe???