Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Fanya mpango uje fasta mkuu wataisha.Itanibidi niombe likizo fupi, nije huko kukamatia sukari adhimu.
Fanya mpango uje fasta mkuu wataisha.Itanibidi niombe likizo fupi, nije huko kukamatia sukari adhimu.
Mi mwanasheria wa Uswaz napenda mlete kesi nigawanishe mali
mbona waguna mpendwa?Mmmh
Sisi ni wahapahapaHaya bhana sisi tunawakilisha hapa, mpaka akina wakongwe wananuna...
Kwema wifi za mihangaiko?Humu ndani kwema???
Spidi ya hatariTunakimbiza mbayaaa...
Hahahaa kama itatokea, tutakuletea lawyer wa kitaa.Mi mwanasheria wa Uswaz napenda mlete kesi nigawanishe mali
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Usiogope brotherIla mabinti wa Kitanga wana mambo! Ogopa sana.
Sema prezidaa una mashairi...I believe utanikubalia
Nasubiria
.........
Wanune wapasuke, sie twasonga mbele.Haya bhana sisi tunawakilisha hapa, mpaka akina wakongwe wananuna...
NamasteNamastee![]()
![]()

Zile chachandu zao zinatisha.Usiogope brother
Nagawanisha hadi vikombeHahahaa kama itatokea, tutakuletea lawyer wa kitaa.
Hongera sanaaaWow
Na me nimeiotea leo
PointMimi sitaki kutumia gharama kubwa kwenye vitu vya kipuuzi.

Hahahaaa mpaka sabuni ya kuogeaNagawanisha hadi vikombe
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Hiyo nayo bora kuacha tu![]()
Hii ndo haki sawa kwa couples
Lizzy mshua akikuzingua dai mali pasu kwa pasu
![]()
![]()
![]()
![]()
..........