Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Watakipata wanachokitafutawaache wapekue weee, mwisho watapekua visivyo pekuliwa

Watakipata wanachokitafutawaache wapekue weee, mwisho watapekua visivyo pekuliwa

Nimekumiss mkuu
Mtaa wa fisiIjumaa Leo biriani wapi?
TupotupoMmeenda wap?
Miss you tooNimekumiss mkuu
Mkuu wa ulinzi ni nani hajapanga roster.Nitalinda jukwaa hili
Unaweza ukatekwa humuhumu.Haiwezekani mm sio tajiri,siendi gym
Maji tu sema kingine ,we hata ....nakununulia una nidhamu nzuri sana ,napenda nidhamu yakoSawasawa mkuu naombaninunulie hata maji basi![]()
![]()
![]()
Hadi hapa niko lindo nalinda jukwaaMkuu unatakiwa kuja kulinda jukwaa usiku kucha!![]()
Uwe na weekend njema na wewe mkuuWale wa kanisani leo ibada njema,wengine weekend njema
Asante mkuuUwe na weekend njema na wewe mkuu
Nawe asubuhi njemaAsubuhi njemaView attachment 896199
Weekend njema na kwako.Wale wa kanisani leo ibada njema,wengine weekend njema
Naamini mmeamka salama
Habari za asubuhi mkuu.mzima?