Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Wewe na dada(Sakayo)kila nikiwapa homework mnakimbia!Siwaoni wenye chura zao![]()
![]()
![]()



Wewe na dada(Sakayo)kila nikiwapa homework mnakimbia!Siwaoni wenye chura zao![]()
![]()
![]()



Wewe na dada(Sakayo)kila nikiwapa homework mnakimbia!![]()
ngumu hiyo

Kwa sele bongeIjumaa Leo biriani wapi?
Ijumaa Leo biriani wapi?
Ndio wapiKwa sele bonge
Ndio wapi
Hahahaha, mie nimetaja tu,maana utasikia Leo ijumaa biriani ( cjui kwann huwa ijumaa tu)Kati ya vyakula vinavyonitoa jasho siviwezi na birian
Kinondoni naijua,huyo uliyemtaja ndio sijui kino ipi ,ila ahsante iko siku nitatimba hapo kwa kuuliza wadauKinondoni kila ijumaa anauza biriani
Hahaha labda kwa kuwa inapendwa sana na waislamHahahaha, mie nimetaja tu,maana utasikia Leo ijumaa biriani ( cjui kwann huwa ijumaa tu)
Kinondoni kanisani kwa mbele kushoto ukifika uliza kwa sele bonge wapiKinondoni naijua,huyo uliyemtaja ndio sijui kino ipi ,ila ahsante iko siku nitatimba hapo kwa kuuliza wadau
Hahahaha ,asee waislam na ubwabwa tena ,halafu huwa halipikwi majumbani eeh ,zaidi ya hotel na migahawaHahaha labda kwa kuwa inapendwa sana na waislam
Poa Poa, hii kitu nimemiss Sana ,hapo nakua natokea wapi sasaKinondoni kanisani kwa mbele kushoto ukifika uliza kwa sele bonge wapi
Poa Poa, hii kitu nimemiss Sana ,hapo nakua natokea wapi sasa
Hahaha watekaj watakubebaNitalinda jukwaa hili