Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,300
Aina ya pili ni kucha yenye mstari mweusi katikati, kucha aina hii huashiria ugonjwa wa kansa ujulikanao kama Melanoma, hii ni kansa ya ngozi, dalili hii ilielezwa na Profesa Sanchia Aranda ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kansa Australia.

