Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nko poa kabisaTuko salama kabisa sijui na wewe uko salama.
Hatujambo,siku njema na kwakoMko poa kabisa? Weekend njema
Alikuwa ana mlinda nani?![]()
![]()
![]()
![]()
alikuwa analinda
Kwema mkuu?Pumbaaaavuuuu
Nko poa....ninaendelea vema binamu mama yao kina JJ. Usifanye mchezo na whiskey ya kinakaka wa kikristo (Christian Brothers whiskey) uko poa wewe






Asante mdau. Wikend iwe nzuri kwakoPole Obe
Kuna ntu nimeshuka nae jk nyerere...
Nahisi ni shunie jamaani
Nataami kumpiga picha ..![]()
kwan humjui?ungebahatisha kwa kuita @shunieee akigeuka ni yy

TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi asante kutuamsha salama Jumapili ya leo tarehe 14 OKTOBA 2018..Si kwa wema wetu Baba ni kwa Upendo na Neema kuu..wako watu wengi walitamani kuiona leo hawajaweza..tunakuja mbele zako kwa shukurani kuu.Jumapili ya leo tunaomba tusamehe Baba turehemu twakusihi...tupe moyo safi Mfalme wa Amani.Bariki kuingia na kutoka kwetu Bariki Sadaka zetu na tusaidie tusamehe wengine.




We endelea kulinda jukwaaCheka na Numbisa itakujia hivi punde!![]()