Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,201 eden kimario said: Kwa hiyo wiki imeisha tayari Click to expand... Sijui mm piga hesabu kwani tunapangiana kuingia jf
eden kimario said: Kwa hiyo wiki imeisha tayari Click to expand... Sijui mm piga hesabu kwani tunapangiana kuingia jf
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,202 Lyon Lee said: Kama wewe siku moja ni mwaka 1 bhasi sawa utakuwa ushakuwa kigagula ila kama sio kweli bhasiii wachaaa nikumwagie sifaaa ... Click to expand...
Lyon Lee said: Kama wewe siku moja ni mwaka 1 bhasi sawa utakuwa ushakuwa kigagula ila kama sio kweli bhasiii wachaaa nikumwagie sifaaa ... Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,203 Transcend said: Tukutane kino December..! Tulia hivyo hivyoo Click to expand... Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguo
Transcend said: Tukutane kino December..! Tulia hivyo hivyoo Click to expand... Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguo
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,204 Shunie said: Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguo Click to expand... Tulia kwanza ipambe moto..
Shunie said: Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguo Click to expand... Tulia kwanza ipambe moto..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,205 Hahahah T bwana ebu lipa bwana ukilipa unatuma msg ya kawaida kwenye hiyo no kuwa hela ni ya flani na flani hakuna atakayekujua Transcend said: Tulia kwanza ipambe moto.. Click to expand...
Hahahah T bwana ebu lipa bwana ukilipa unatuma msg ya kawaida kwenye hiyo no kuwa hela ni ya flani na flani hakuna atakayekujua Transcend said: Tulia kwanza ipambe moto.. Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,206 Transcend said: Naam Click to expand... Miss you!
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,207 Shunie said: Hahahah T bwana ebu lipa bwana ukilipa unatuma msg ya kawaida kwenye hiyo no kuwa hela ni ya flani na flani hakuna atakayekujua Click to expand... Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf?
Shunie said: Hahahah T bwana ebu lipa bwana ukilipa unatuma msg ya kawaida kwenye hiyo no kuwa hela ni ya flani na flani hakuna atakayekujua Click to expand... Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf?
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,208 Tumosa said: Miss you! Click to expand... Miss you sister... How hav' you been?
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,209 mtugani wa wapi huyo said: View attachment 872400 Click to expand... Poleni kwa waliofikwa na hili,poleni watanzania wenzangu
mtugani wa wapi huyo said: View attachment 872400 Click to expand... Poleni kwa waliofikwa na hili,poleni watanzania wenzangu
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,210 Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi Shikamooni wote mliopo hewani
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,211 Transcend said: Mara nitokee niseme jamani mimi ndio T wa kapuku.... Watu watakimbia! Mwenyewe nitakimbia aisee.. Click to expand...
Transcend said: Mara nitokee niseme jamani mimi ndio T wa kapuku.... Watu watakimbia! Mwenyewe nitakimbia aisee.. Click to expand...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,212 Tumosa said: Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi Shikamooni wote mliopo hewani Click to expand... Nakuona !
Tumosa said: Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi Shikamooni wote mliopo hewani Click to expand... Nakuona !
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,213 Tumosa said: Click to expand... Hahaa! Sasa unacheka nini?
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,214 Shunie said: Woyoooooo We mke mwee Uko wapi jamani shemeji yangu anakuita Tumosa Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 21, 2018 #335,215 Shunie said: Naona ijumaa hii watu mmeshatekana jamani leo nimekuwa mlinzi wa jukwaa Click to expand...
Shunie said: Naona ijumaa hii watu mmeshatekana jamani leo nimekuwa mlinzi wa jukwaa Click to expand...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 21, 2018 #335,216 Kapuku's ndio twakatiwa umeme
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,217 I'd za jf usitaje tuma majina hata ya uongo kikubwa tu wakupe msg ya confirmation ya kuonyesha ukiwa unaingia Transcend said: Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf? Click to expand...
I'd za jf usitaje tuma majina hata ya uongo kikubwa tu wakupe msg ya confirmation ya kuonyesha ukiwa unaingia Transcend said: Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf? Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,218 Tumosa said: Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi Shikamooni wote mliopo hewani Click to expand... Kwani ni lazima ufukue makaburi jamani endelea ulipokuta
Tumosa said: Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi Shikamooni wote mliopo hewani Click to expand... Kwani ni lazima ufukue makaburi jamani endelea ulipokuta
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 21, 2018 #335,219 Pole Mtoto halali na hela said: Kapuku's ndio twakatiwa umeme Click to expand...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 21, 2018 #335,220 Shunie said: I'd za jf usitaje tuma majina hata ya uongo kikubwa tu wakupe msg ya confirmation ya kuonyesha ukiwa unaingia Click to expand... Pouwa pouwa... Ngoja nianze kukremisha jina la kutumia siku hiyo...kabla sijatuma hela..
Shunie said: I'd za jf usitaje tuma majina hata ya uongo kikubwa tu wakupe msg ya confirmation ya kuonyesha ukiwa unaingia Click to expand... Pouwa pouwa... Ngoja nianze kukremisha jina la kutumia siku hiyo...kabla sijatuma hela..