Uchumi wako una masaa mangapi? Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako?
Kitu gani unaweza kuonyesha ambacho tayari umekifanya kipindi chote cha maisha yako mpaka hapo ulipo sasa hivi? Mungu huwa hampi mtu yeyote ambaye ni mjinga miujiza mikubwa zaidi ya uponyaji mdogo.
Muda ukitumika vibaya lazima utakuwa mtu wa madeni mengi, utakopa sana. Anza sasa kujiuliza tangu mwaka ulipoanza ni kitu gani umekifanya cha Mungu.
Uchumi wa Mungu ni masaa 24. Huenda kuna mtu amebeba majibu ya maisha yako, anza kuuliza maswali. Kama ukichezea muda wako ni ngumu sana kufanikiwa.
Kazi ya Muda.
1.Kufikiri. jiulize umewahi kupata nafasi ya kukaa mahali na kufikiri kwa dakika kadhaa? kama hujawahi wewe hujaanza kuishi bado.
2.Wazo. Mawazo yako unayopata , unayaandika au kuchora mahali ili Mungu aone nia yako akusaidie kuvuka mahali ulipo?
3.Kutafuta Taarifa sahihi. Unatafuta semina mbalimbali ili kujifunza, unasoma vitabu gani ambavyo vinaweza kukupatia ufahamu wa kutosha, Unasisikiliza kitu gani ili ujifunze , unatazama nini, kitu gani unakipenda na nini hukipendi.
Unataka kuwa na kampuni kubwa anza kutengeneza maneno kwanza. hakuna kitu kinachotokea kabla ya Neno. Simu inatengenezwa kwa kutumia kitabu chake. Mungu aliumba Ulimwengu kwa neno. Gari inatengenezwa kwa kuanza na maneno ya kwenye karatasi kwanza. Mwanadamu ni kitabu chake cha imani.
Kama muda wako umejaa masaa 24, tazama huo muda unaufanyia nini? Muda una nguvu, Heshimu muda. Mtu anayeheshimu muda huheshimika, huonekana kuwa ni wa thamani . Ukitumia muda vizuri utakubalika na Mungu pamoja na wanadamu.
Unachotakiwa kufanya leo ni kuandaa list yako ya 2018. Nimetamani nikusaidie kitu gani cha kuanza kwanza.
Kabla hujaandika mambo yako yote, Anza kuandika mambo ya Mungu. Andika vitu ambavyo utamfanyia Mungu , Kazi ya Mungu mwaka 2018. Ukimaliza hayo, Anza kuorodhesha ya kwako.
Put God First.
1.
2.
3.
4.
5.
…………
Andika ya kwako.
1.
2.
3.
4.
5.
Unaweza kuandika list ndefu sana ya kukutosha wewe. Nakutia moyo fanya hivyo utaona mambo mapya yakitokea katika maisha yako.
Mungu Akubariki.
Asante ubarikiwe mamaaVp hvyoKwani si unaonaaa ashaonjeshwaaa vya ukoo ananisahau
Hivi tunataka kufanya biashara gani vile ebu ninong'oneze...unauma meno mbona, umekula ndimu au shabu? Maana kama ni namba bado sijaisoma ujue

Angelikuwa shunie anakwambiew unaendaaa kuliwa sema anatamkaga kukulana ...shunie huyu jamanHivi tunataka kufanya biashara gani vile ebu ninong'oneze![]()
Angelikuwa shunie anakwambiew unaendaaa kuliwa sema anatamkaga kukulana ...shunie huyu jaman

awe nani aliwe kwa mfanoBandiko zuri sana mdau, asante lakini unajua ni kwanini wengine hatuna huo muda wa kukaa tunasoma au kutafuta maarifa mapya kila wakati? Tumeanza majukumu ya familia tukiwa wadogo na hadi tumeweza kununua simu na laptop kuingia JF ni kwa sababu tumeajiriwa na muda wote mwajiri anatutumia hatupi nafasi ya kufanya yale tunayopenda. Kikubwa tunafanya kazi kuhaklikisha watoto wetu waka sawa, hawawi kama sisi. Mungu kumtanguliza ni sawa, lakini si hata kwa Mungu kuna madaraja? bahati mbaya ukiniangalia mtu kama mimi, nyumba zuri zote mjini nilikuwa kibarua, mkono wangu upo kweli kila tofari la pembeni, nilitamani kuweka jina langu lakini mpiga plasta akasema hataki uchafu. Mpiga rangi naye akasema plasta ina harara hivyo akapiga rangi kuondoa harara, hawa wote kama mimi tu nao hawatambuliki na sadaka wanatoa.Uchumi wako una masaa mangapi? Wewe ni mtu unayeandika kitu unapofundishwa? unasoma vitabu ? Unafikiri kwa muda gani? Unatafuta taarifa za kutosha? Unatafuta wazo ndani yako?
Kitu gani unaweza kuonyesha ambacho tayari umekifanya kipindi chote cha maisha yako mpaka hapo ulipo sasa hivi? Mungu huwa hampi mtu yeyote ambaye ni mjinga miujiza mikubwa zaidi ya uponyaji mdogo.
Muda ukitumika vibaya lazima utakuwa mtu wa madeni mengi, utakopa sana. Anza sasa kujiuliza tangu mwaka ulipoanza ni kitu gani umekifanya cha Mungu.
Uchumi wa Mungu ni masaa 24. Huenda kuna mtu amebeba majibu ya maisha yako, anza kuuliza maswali. Kama ukichezea muda wako ni ngumu sana kufanikiwa.
Kazi ya Muda.
1.Kufikiri. jiulize umewahi kupata nafasi ya kukaa mahali na kufikiri kwa dakika kadhaa? kama hujawahi wewe hujaanza kuishi bado.
2.Wazo. Mawazo yako unayopata , unayaandika au kuchora mahali ili Mungu aone nia yako akusaidie kuvuka mahali ulipo?
3.Kutafuta Taarifa sahihi. Unatafuta semina mbalimbali ili kujifunza, unasoma vitabu gani ambavyo vinaweza kukupatia ufahamu wa kutosha, Unasisikiliza kitu gani ili ujifunze , unatazama nini, kitu gani unakipenda na nini hukipendi.
Unataka kuwa na kampuni kubwa anza kutengeneza maneno kwanza. hakuna kitu kinachotokea kabla ya Neno. Simu inatengenezwa kwa kutumia kitabu chake. Mungu aliumba Ulimwengu kwa neno. Gari inatengenezwa kwa kuanza na maneno ya kwenye karatasi kwanza. Mwanadamu ni kitabu chake cha imani.
Kama muda wako umejaa masaa 24, tazama huo muda unaufanyia nini? Muda una nguvu, Heshimu muda. Mtu anayeheshimu muda huheshimika, huonekana kuwa ni wa thamani . Ukitumia muda vizuri utakubalika na Mungu pamoja na wanadamu.
Unachotakiwa kufanya leo ni kuandaa list yako ya 2018. Nimetamani nikusaidie kitu gani cha kuanza kwanza.
Kabla hujaandika mambo yako yote, Anza kuandika mambo ya Mungu. Andika vitu ambavyo utamfanyia Mungu , Kazi ya Mungu mwaka 2018. Ukimaliza hayo, Anza kuorodhesha ya kwako.
Put God First.
1.
2.
3.
4.
5.
…………
Andika ya kwako.
1.
2.
3.
4.
5.
Unaweza kuandika list ndefu sana ya kukutosha wewe. Nakutia moyo fanya hivyo utaona mambo mapya yakitokea katika maisha yako.
Mungu Akubariki.
Weww hapo etiiiawe nani aliwe kwa mfano
Hivi tunataka kufanya biashara gani vile ebu ninong'oneze![]()
Hapa ndo maana ulimwqmbiaa kimodo wako akaee pembeni wala asikugusee ushusheee nondooo...Bandiko zuri sana mdau, asante lakini unajua ni kwanini wengine hatuna huo muda wa kukaa tunasoma au kutafuta maarifa mapya kila wakati? Tumeanza majukumu ya familia tukiwa wadogo na hadi tumeweza kununua simu na laptop kuingia JF ni kwa sababu tumeajiriwa na muda wote mwajiri anatutumia hatupi nafasi ya kufanya yale tunayopenda. Kikubwa tunafanya kazi kuhaklikisha watoto wetu waka sawa, hawawi kama sisi. Mungu kumtanguliza ni sawa, lakini si hata kwa Mungu kuna madaraja? bahati mbaya ukiniangalia mtu kama mimi, nyumba zuri zote mjini nilikuwa kibarua, mkono wangu upo kweli kila tofari la pembeni, nilitamani kuweka jina langu lakini mpiga plasta akasema hataki uchafu. Mpiga rangi naye akasema plasta ina harara hivyo akapiga rangi kuondoa harara, hawa wote kama mimi tu nao hawatambuliki na sadaka wanatoa.
Haka katoto ka imam wangu nakaangalia kila siku kanavyotoka chuo kikuu kanakuja na maneno makubwa makubwa, kanachosha akili yangu ambayo matofari na misumali imeichosha, na kakianza kuongelea kuondokana na umaskini nakatizama maana najua kabisa zaka zangu ndo zinakafanya katambe, kanasema kana homuweki wakati mmi na wenzangu homuweki yetu ni kitandani nikirudi home namkuta wifi yako ananisubiri kuniongezea uchovu.
siandiki haya kujitetea na kupotosha lakini natamani uandike wengine ninaowafanyia kazi na wananilipa wanithamini, watambue kabisa nyasi nikifyeka nawaepusha na nyoka.
Sasa umeziona akili zangu za week days
wote
Hapo sawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wote