Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wallah nimejisemea tu sizipendi mm
Nilitaka nishangae!!

Mie beach sitafuti six packs wala nini pumzi tu hata za kukimbia km 7 bila kusimama, hata watoto wadogo wakikuvuruga unawatia adabu,

mara nyingi hasa nikiwa na muda kama hivi huwa naenda kucheza soka la ufukweni
 
Mama wa watoto watatu amefariki katika kliniki moja nchini Uturuki alikoenda kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio "Brazilian butt lift"

Cardi B Mwanamuziki aliyeweka wazi kwamba kabla ya kuingia katika fani ya muziki aliongezewa makalio huko mjini New York na kifaa alichowekewa ndani kilivuja kwa siku tano baadaye.
Je wanawake wanapuuza athari ya upasuaji huu ?

Kazi wanayo wasiojikubali na maumbo yao najipenda nilivyo mm niwe na chura nisiwe nayo kama mume ninaye nitake nn shunie mm

View attachment 858910
We hutaki chura[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivyo hivyo bwana mm nakupenda tu T the Don urudi tulewe zetu Heineken majuzi nililewa mm sijui Heineken 9 sijui 10 mpaka nilikuwa nagombana na dereva wangu wa bajaji alinifata ananiambia lasivyo nakuacha beba beer zilizobaki tuondoke imebidi nijibebee beer mbili zilibaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maka mm muhenga na kupenda six pack wapi na wapi jamani
Nilitaka nishangae!!

Mie beach sitafuti six packs wala nini pumzi tu hata za kukimbia km 7 bila kusimama, hata watoto wadogo wakikuvuruga unawatia adabu,

mara nyingi hasa nikiwa na muda kama hivi huwa naenda kucheza soka la ufukweni
 
Back
Top Bottom