makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,595
Tutafika tuEeenh ndiwoooo maisha ndio hayahaya matamu lakini mafupi
Hhmm!!! Abj wacha mambo hizi bibie!oh yeah
Shunie akee una nini wewe wajameni!! Siko na kasava kubwa kwani mie ni tekno!?Makaveli akee akuje mwenye big cassava yake
Iwe sekenke iwe kitonga chombo kinaunguruma tuu!!Watu wana Horse power za Scania 320 mzee baba!
Pull kubwa Hatarereee![]()
Mie mwenzio ilibidi nizime simu ila mazoez yangu yaendelee vyema.Imebidiiii niachee mazoez nisome kwa makini
Shunie akee una nini wewe wajameni!! Siko na kasava kubwa kwani mie ni tekno!?




wewe si ndg yake teknoAkikujib nipe chabo!Heeeeee aje wapi![]()
Mie mwenzio ilibidi nizime simu ila mazoez yangu yaendelee vyema.
Sio kweli, mbona sikusikia.Si umemuita wewe
Usimsikilize huyoJamani me nlikuwa sijui ka anaitwa cassava mwee sijamuita

Biere bruneMdg mdg sasa hivi ni 05:11View attachment 859195
Karibu!!Naomba nikuje kuhakikisha
...nilijua tu maana kabla ya jamaa kuja ulikuwa na hasira kama mwanachadema aliyehamia ccm. Ila siku mbili hizi umejaa tabasamu kama dalali wa makontena ya mkuu wa mkoa

Unayajua!! Kizabizabina weye.mwenyewe nimefanyaje mm