Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka uwiiih
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My president Magufuli..

Nchi iko kwenye light tlack kabisaaaa! Watu wanafuraha kupita maelezo .

Wewe endelea kushikilia vitufe tuu.

Wananchi wako tuna furaha sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸🤸🤸🤸 tufanyeje sasa
My president Magufuli..

Nchi iko kwenye light tlack kabisaaaa! Watu wanafuraha kupita maelezo .

Wewe endelea kushikilia vitufe tuu.

Wananchi wako tuna furaha sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Motooo motooo motooooo hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Uhaba mkubwa wa mafuta umelikumba jiji la Nairobi Kenya.
Vituo vingi vya kuuza mafuta havina bidhaa hiyo muhimu.

Foleni zimeshuhudiwa nje ya vituo vichache ambavyo bado vinauza mafuta.

Uhaba huu umesababishwa na baadhi ya wasafirishaji mafuta ambao wamesusia mafuta baada ya serikali kuongeza tozo ya asilimia 16%.
Screenshot_20180906-110616.jpeg
 
Tusalimie nairobi
Uhaba mkubwa wa mafuta umelikumba jiji la Nairobi Kenya.
Vituo vingi vya kuuza mafuta havina bidhaa hiyo muhimu.

Foleni zimeshuhudiwa nje ya vituo vichache ambavyo bado vinauza mafuta.

Uhaba huu umesababishwa na baadhi ya wasafirishaji mafuta ambao wamesusia mafuta baada ya serikali kuongeza tozo ya asilimia 16%. View attachment 858832
 
My president Magufuli..

Nchi iko kwenye light tlack kabisaaaa! Watu wanafuraha kupita maelezo .

Wewe endelea kushikilia vitufe tuu.

Wananchi wako tuna furaha sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna furaha mnooo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na message imfikiee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]acha tufurahi[emoji119][emoji119][emoji119]maisha ndo hayahaya
 
Naona umekubali kuwa shangazi wa ABJ hadi mnacheka sasa.
Kumbe amekubaliii woyoooooo shangazi Shunie [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hauzimi shangaziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Raia wa Uganda ndio watu wanaofanya mazoezi zaidi ya wote duniani.
Utafiti wa shirika la afya duniani WHO katika mataifa 168 uliochapishwa kwenye jarida la madaktari la Lancet unaonesha kuwa mtu mmoja kati ya wanne yuko katika hatari kubwa ya kuugwa matatizo ya moyo, kisukari na pia baadhi ya saratani, magonjwa yanayosababishwa na kutofanya mazoezi ya kutosha.

Pia imegunduliwa kuwa kati ya kundi wasiojishughulisha na mazoezi ni wanawake.

Je unafanya mazoezi kiasi gani kwa siku ilikujiepusha na maradhi haya ?
 
Mama wa watoto watatu amefariki katika kliniki moja nchini Uturuki alikoenda kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio "Brazilian butt lift"

Cardi B Mwanamuziki aliyeweka wazi kwamba kabla ya kuingia katika fani ya muziki aliongezewa makalio huko mjini New York na kifaa alichowekewa ndani kilivuja kwa siku tano baadaye.
Je wanawake wanapuuza athari ya upasuaji huu ?

Kazi wanayo wasiojikubali na maumbo yao najipenda nilivyo mm niwe na chura nisiwe nayo kama mume ninaye nitake nn shunie mm

Screenshot_20180906-110725.jpeg
 
Operesheni ya kuwafurusha wageni wasio na vibali vya kuishi nchini Kenya leo imenasa wafanyikazi kadhaa wa kituo cha runinga cha kimataifa cha Uchina, CGTN mjini Nairobi.

Mashuhuda wanasema maafisa hao wa uhamiaji walivamia kituo hicho na kutaka wageni wote watoe vibali vya kufanya kazi Kenya.Serikali imekuwa ikiendeleza operesheni kali ya kunasa wahamiaji wasio na vibali.
Screenshot_20180906-110708.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸

Back
Top Bottom