makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,485
Hahaa!! Sina udugu nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe si ndg yake tekno
Hahaa!! Sina udugu nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe si ndg yake tekno
Yale yale ya beach!Mazoezi yapi hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mvurugano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa hapo nani ataitikia shkamoo ya mwenzie
Andunje una mikwara kichizi!!Makapuku naombeni msaada natafuta helikopta nzuri inayoweza kuruka umbali mrefu
Pia isiyo na kelele kama hii ya sasa.......ukinisaidia kuipata unalamba Milioni 1 fasta
Shemela[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi yke nani vilee..vyenye aunt yangu Shunie akisema usiniite shangazi, kwani umeniona nimevaa vitenge na kilemba kama mlina asali, mimi wamo bhana si unancheki, niite auntie
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],,,nimeshamjibu, ajiangalie sana wiki bado mbichi kabisa hii asikuharibie, kwani kakuona umvaa gagulo, nyanyapensi, chupi ya resiresi na vitenge vya malawi? Akuache
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio huyu unaekojoleana nae siki hizi shunie akee!?
Makapuku naombeni msaada natafuta helikopta nzuri inayoweza kuruka umbali mrefu
Pia isiyo na kelele kama hii ya sasa.......ukinisaidia kuipata unalamba Milioni 1 fasta
Karibu!!
Yale yale ya beach!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi uko kwenu huna mashangazi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu usikute hana chochoteAndunje una mikwara kichizi!!
Mimi na wewe tena!!!Woyooooooooo imetoka moyoni kabisa eenh
Unapenda six packs eeh!!!Unitumiege na picha basi nikuone na six pack
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...kweli bhana, eti utashangaa tu mtu hata ijumaa shikamoo anko, huwa nakaa kimya kama sisikii vile
98% naamin unachokinena![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu usikute hana chochote
Na hutojuta maana nitakulipa mshahara na posho zaidi ya wahudumu wa ATCLUkipata hiyo helikopta mm nitakuwa muhudumu wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mashavu yote au haya tu yasiyoveshwa nguo?
Mimi na wewe tena!!!