Makapuku Forum

Makapuku Forum

Antoine Griezmann hajafurahishwa kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA ingawa Ufaransa ndio bingwa wa kombe hilo.
:
Nyota huyo alikuwa na msimu mzuri mwaka 2018 baada ya kutwaa taji la Europa League pamoja na Super Cup akiwa na Atletico Madrid pia aliisaidia Ufaransa kutwaa taji la pili la kombe la dunia.
:
Pamoja na mafanikio hayo, Griezmann sio mmoja wa wachezaji watatu waliobakia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya dunia. Orodha ya mwisho imewashuhudia Cristiano Ronaldo, Luca Modric pamoja na Mo Salah.





Screenshot_20180906-194549.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom