Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
kumekucha
Kivuruge kaishatia maguu.. Mvumilie tu, maana mie nampenda hivyo hivyo tu na ukivuruge wake.kumekucha
Ndio kibuzi chake nini!?@mbalizi1



na mm nakupenda hivyohivyo maka akee
Kivuruge kaishatia maguu.. Mvumilie tu, maana mie nampenda hivyo hivyo tu na ukivuruge wake.
![]()
![]()
![]()
Sijui katekwa wapi
Mtuma jina maimuna!!...tena mganga mwenyewe sio yule wa tiba mbadala, ni yule anayeroga bila kukosewa
Kikojozi mwenzieNdio kibuzi chake nini!?
Usikojoe ndugu yangu sina hela ya sabun ya kufulia mashuka.. Subiri nikuletee kopo shunie akee
We bhana wee!! Usilete songombingo la kaboka mchizi. Kesho kutoa godoro nje mtu mzima mimi ni aibu mzee mwenzangu.🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 maka akee sitaki acha nikojoeeeee hivihivi
Unakaza nikikaza unaniambia matusi.Nakazia
Hujakosea binamu nilikuwa na usiku mwanana
Namletea lile la sadolin....mmmh, hilo kopo lisiwe la bati, mikojo inaunguza,
Wanakojoleana!!Kikojozi mwenzie
Akikojoa tu kesho asubuhi namfungashia kirago aende akalikaushie kwao huko.
Nashukuru shunie akeeeWouzeeeeeerrrrrna mm nakupenda hivyohivyo maka akee
kwanza za mashavu.