Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Uende ulaya,ukapige picha na riki rozi,unitumie wasup,nione wivu,roho iniume mm,.hapana kwakweli baki tuu hapahapa kwa jiwe kuu lililowashinda waashi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hutaki nichukuliwe nikwende ulaya hutaki zawadi