[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemela nenda ulale na shululu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm simo ngoja akuje mama wawili ajibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niishie hapa hapa...manake Tumosa anaweta akaotesha ndizi za mbeya kichwani kwangu..[emoji23][emoji23]
Amen..Baba namkabidhi slim mikononi mwako mponye na magonjwa yanayomuandama mponye na roho ya ugonjwa muimalishe afya yake irudi kama mwanzo
Naomba katika jina lako na roho mtakatifu Ameen
Mama la mama..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Baba namkabidhi slim mikononi mwako mponye na magonjwa yanayomuandama mponye na roho ya ugonjwa muimalishe afya yake irudi kama mwanzo
Naomba katika jina lako na roho mtakatifu Ameen
Pouwa karibu mkuuHabari makapukuz
Habari makapukuz
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nko hapa shemelaMama la mama..
Shikamoo mzee wa ugimbiMko wapi ?ijumaa hii ( msiniambie mko hapa makapuku )
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Marhabaaaaaaa hujambo totoShikamoo mkuu
Sijambo dadaMarhabaaaaaaa hujambo toto
Hahaha, nilitegemea hili jibu toka kwako,eti Mzee wa ugimbiShikamoo mzee wa ugimbi
Tuko hapahapa makapuku mkuu
Kaniletee maji ya kunywaSijambo dada