Umewahi Tazama Filamu za "The Amytville Horrors" Zipo Nyingi, ya Mwisho Bila Shaka Imetoka Mwaka 2017.
-
Filamu Hiyo Ni Stori Ya Ukweli, Sema Zingine Zimeongezewa Chumvi Kimtindo Lakini Filamu Ya mwaka 1979 Ndiyo Inaakisi Uhalisia.
-
Stori Ya Ukweli...Mwaka 1974, Ronald "Butch" Defeo Jr Katika Makazi Yake Huko Amytville Aliwaua
watu Sita Kutoka Katika Familia Yake.
-
Katika Maelezo Yake, Alikiri Kufanya Hivyo Lakini Anasema Kuwa Katika Nyumba Hiyo Ambayo Alikua Akiishi, Kuna Sauti Zilikua Zikimwamwambia Awaue Wenzake Kila Mara.
-
Mwaka Mmoja Badae, Familia Ya Bwana Lutz, ilihamia Katika Nyumba hiyo.
-
Lakini ndani Ya Siku 28 Tu Walikimbia Nyumba Hiyo, wakisema Kuwa Walikua Wakikumbana Na Mambo Ya Ajabu Na visanga Vizito.
-
Kufuatia Hali Hiyo, Polisi Waliamua Kuchunguza Vizuri Zaidi Kuhusu Nyumba Hiyo, Ambapo Walitegesha Camera maalumu Kwa Umbali kidogo Na Nyumba Hiyo...Camera Hizo Ni Zile Zenye Uwezo Wa Kupiga Picha Za Infrared..Yani Picha Zenye Kupenya Na Kuchukua Hata katika Sehemu Ya giza Na Katika Vitu Visivyoonekana Kirahisi.
-
Mojawapo Ya picha Waliyopata Ndo Hiyo Hapo Kama Unavyoona.
-
Inaamika kuwa Huyo Dogo Ndiye John Matthew, Ambae Alikua Mdogo Mdogo Bado Wakati Anauwawa Mwaka 74 Na Bwana Ronald