Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,291
- 95,602
Karibu, karibu karibu, tujumuike week end ndio inaanza sasa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Karibu, karibu karibu, tujumuike week end ndio inaanza sasa
Ahsante nitakaribiaKaribu, karibu karibu, tujumuike week end ndio inaanza sasa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kwahiyo nikiacha wazi nitapata hayo mahela
wizooooo nilikumissijee
😀😀😀😀😀😀bby anazingua jmn
woyooooooooooooo wiiizoo we ni noumerrrr
Nipo mama wenger..
hana nia njema na wewe wii
sio utapata - yatatiririka!Kwahiyo nikiacha wazi nitapata hayo mahela
Ameeeen..... fanya basi yale maombi.... au wewe unajua kuombea ya kitandani tu....!Pole sana slim Mungu akuponye urudi kwenye hali yako jamani tunakupenda
Ndio nipo hapa..... naumiza makalio ktk mabenchi ya mbao.... daah hz hospital zetu hizi...Jamani pole sana slim umeenda hospital
Ahsate sana..... hivi ile sauti huwezi ukamodify ukapata ya kumpa mgonjwa?Pole sana slim Mungu akuponye urudi kwenye hali yako jamani tunakupenda
Fungua.... Nikishaingia tu..... funga tena!Kwahiyo nikiacha wazi nitapata hayo mahela