Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ah kumbe na ww Man U,,karbu SanaKumbe ninge we man u mwenzangu
Haujambo shunie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah kumbe na ww Man U,,karbu SanaKumbe ninge we man u mwenzangu
Unawaka motoooooHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
View attachment 845994

Tunakulaanaa...! Watoto wako shule woteNko hapa shemela
Mnaendeleaje na familia
Hahaha, nilitegemea hili jibu toka kwako,eti Mzee wa ugimbi
101-03-821.M|T|C
vp uko poaHongera sanaTunakulaanaa...! Watoto wako shule wote
Sijambo za ww ninge
Marhaba Tumosa,,huku kwema kabsa habari za hukoSijambo za ww ninge
Shikamoo mkuuu
nilisahau salamu yko
Kaniletee maji ya kunywa
Tunakulaanaa...! Watoto wako shule wote
Shikamoo mkuuu![]()
![]()
![]()
nilisahau salamu yko





Mbona umeitikiwa bila kuamkiwa ningeHahahaha si ndio hapo sasa imebidi nijiongeze mwenyeweShikamoo mkuuu![]()
![]()
![]()
nilisahau salamu yko
Marhaba shunie,,habari ya kwako??weekend vpSijambo ninge jamani shikamoo
Tunakulana utamu tuuu...Mnakulana nn eti
Hahahaha Tumosa leo alikuwa hana mpango wa kunisalimia,,nmemuona anankazia,,ikabd nijiongeze hahaMbona umeitikiwa bila kuamkiwa ninge




Kumbe unaipenda eenh