eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Na mi pia natoa ofa nipo hapa chelsea hotel karibuni sanaKapuku ambaye hajanywa chai aniPM nipo hapa Serena Hotel nasubiri Uver ya helkopta
Na mi pia natoa ofa nipo hapa chelsea hotel karibuni sanaKapuku ambaye hajanywa chai aniPM nipo hapa Serena Hotel nasubiri Uver ya helkopta
Safii lee nyenyeeNiajee wewe jamaa
Unemuonaa mnyama costa ...kweliii kuna watu akili huwa za kuazma kama conteNa mi pia natoa ofa nipo hapa chelsea hotel karibuni sana
nimecheka sanaLabda mavu*
salama sana mkuu, uwe na siku njemaSiku zote maisha hayana usawa
Anaetafuta kwa haki havuni inavyostahili
Wakuu habari ya asubuhi
Nakuona unavowazaanimecheka sana
We Acha tu jana nilimuangalia Costa kwa makini nikaishia kumlaani Antonio conteUnemuonaa mnyama costa ...kweliii kuna watu akili huwa za kuazma kama conte
Kwema mkuuSafii lee nyenyee
Kwema kabisa mkuu eddy..Kwema mkuu
😂😂😂😂 sawa Tumosa,, uwe na asubuhi njema![]()
![]()
![]()
![]()
achana nae yule
Dogo ushakunywa chai ? Muda huu naelekea Bunju kwenye hekalu langu ....hii helkopta niliyopanda inapiga sana keleleUmechapiaa
Dogi ushakunywa chai ? Muda huu naelejea Bunju kwenye hekalu langu ....hii helkopta niliyopanda inapiga sana kelele

kweli mkuuNakuona unavowazaa
Costa pale nyumban,,, Atletico wapo vzr sana msimu wamefanya usajiri makini na usiokuwa na majinaWe Acha tu jana nilimuangalia Costa kwa makini nikaishia kumlaani Antonio conte
Obe wangu...Steve Moller anaandika riwaya za aina gani?
Mmmh....!!!Kwa taarifa yako nilikuwa kwenye kozi ya mwisho ya upadirisho
Loh!Anasomba mwendo msombekooo...
Mtu mwenye kupenda vipapatiro upadiri atauweza wapi?Hongera sana