Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu anapendaa vilivyounguzwaaa....yaan vilivyokaa kwenye mafuta haswa aka kutumikaaa

...vinakuwa na uzoefu wa kutosha, sio unatumia vinavyohitaji kulowekwa kwanza kama makopa (mihogo mikavu).

Anko mbona hata wewe unaban, ulimminya nani?
 
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa 'Tata Madiba' Nelson Mandela.
Unajua mengi kumuhusu na kama huyajui basi una mengi ya kutafuta kujua demokrasia, usawa, kusamehe, kutenda haki kukoje

wgaENmj4FVagHBi5rcXZcoXBFULvsLVhTS6fWZxVZxIMX2iBUP5IuPsoPVvGY_6Y5btAQRg5dJQABIZpBp1F
07-Nelson-Mandela-Quotes-That-Inspire-1024x683.jpg
 
Tafasir Unavyoweza: Mkusanyiko Sio Hadhara

...kuna tofauti kati ya maneno haya mawili japo wakati mwingine huonekana kama yanafanana. Mkusanyiko unaweza kuwa wa watu wengi, wenye kufanya shughuli tofauti sehemu mahsusi. Hadhara ni mkusanyiko wa watu eneo mahsusi wenye lengo linalotambulika. Yote kwa yote unaweza kuwa na tafasiri yako unayoitaka na ndiyo lengo la kipengele hiki.

Siasa ya nchi yetu dalili zinaonesha inaenda kusiko, inaenda kumlea mtu au kikundi cha watu kinachoamini katika kutenganisha watanzania, kinachoamini kina haki zaidi dhidi ya Watanzania wengine, kikundi kinachotaka kumuinua mtu mmoja asiyehojika, asiyefuata katiba na maamuzi ya bunge. Kikundi kinachoshabikia uvunjaji wa sheria, utesaji wa watu wenye mawazo tofauti na mbaya zaidi kutoweka taarifa wazi wa matumizi ya rasilimali na kodi za wananchi. Kodi tunazozitolea jasho kila mmoja na si baadhi ya watu. Mbiu za kuwepo maendeleo yasiyoonekana, maneno matupu na makidai yasiyo mashiko

Kikundi kinachotaka kuweka usawa wa nafasi za utaalamu na kisiasa, teuzi za kitaalamu wanapewa makada wengi wao wakiwa hawana sifa na kuishia kuzorotesha morali ya wataalamu waliojazana serikali kuu na serikali za mitaa. Kikundi kinachoamini kina mawazo sahihi ya zamamni muda huu. Kikundi kinachotengeneza matatizo ili kipate kuendelea kutawala, kikundi kinachoshabikia ujinga wa watanzania kupata elimu dhaifu washindwe kuhoji mambo ya msingi. Tafasiri unavyoweza
 
Muziki: Siku Mbili Wikend Inaanza

FYI, leo ni Jumatano na ndaniya siku mbili wikend inaanza. Nimeona nikuambie maana kuanzia kesho ni mteremko tu, kuifikia Jumatano huwa si jambo dogo, ni siku inayoigawa wiki kwa hiyo lazima uiheshimu. Natumaini uko kwenye siku yako bora kabisa na mimi bila hiyana ninakusalimia na kukutakia wakati mzuri jioni na usiku wa leo. Unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Muziki sasa, nilishangaa leo baada ya kujaribu kumuandikia ano wangu Lyon Lee na kuambiwa sina sifa stahili kumuandikia, kuangalia naona kapigwa ban, nikajua tu tayari anko wangu keshapata za moto mbili tatu nne na kuendelea halafu mtu mmoja akaingia kwenye anga zake. Kilichofuata ndo ban na banishment za maana. Na aunt yangu Shunie pia kachezea sharubu kapelekwa mapumziko. Burudika na muziki nikikupongeza kwa kuifikia jtano

Anko binamuuu mm nipo kamiliii gadoooo
 
Binamu aunt yko anakusalimia nilifikisha salamu anakushukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom