Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi mzima

Makapuku ya zamani haiwezi kurudi tena maisha yamebadilika....
Si unakumbuka nilikuwa nawasisitizia kwamba ukipata muda wa kufurahia pamoja na marafiki utumie vizuri maana huwezi kujua kwamba kesho atakuwepo

Hivyo mimi nilishautumia muda wangu kipindi kile vya kutosha now maisha yamebana hivyo sina muda kama wa zanani
Maisha ni muda
...................
Big point
 
Muziki: RIP Aretha Franklin

...inawezekana ikawa ni sababu tosha kabisa ya mimi leo kuja usiku namna hii, sio kawaida yangu na wengi wenu mu mashahidi wazuri kuwa huwa nawahi kuja na kuchelewa kuondoka na mara zote bila kujali ni muda gani lazima nitoe Hi. Nimechelewa sababu nilikuwa na majonzi makubwa upande wa muziki lakini maana nguli mwanamama Aretha Franklin. Wadogo mliomo humu jipeni tu muda mtafute habari zake mtajua mengi. Nimefurahi kukuona wangu mwenyewe husna muba

Kaondoka mapema, umri umekwenda na kaondoka akiacha jiji la Detroit jimbo la Michigani likiwa na mtaa wenye jina lake na huku sauti yake ikitangazwa (declared) kuwa maliasili, eeh, jifunze mengi. Alitumbuiza katika kuapishwa kwa marais watatu wa USa kuanzia kwa Carter (a977), Clinton (1993) na Obama (2009) wote wa Democrats na George W. Bush Republican akamtunuku tuzo ya juu kabisa ya kiraia ya Uhuru (2005).

Alijulikana katika muziki wa Soul lakini kama walivyo wengi wanamuziki wa enzi zake ilikuwa vigumu kwake kumtenganisha na Blues.
RIP Aretha
e7268d65-f8a0-4684-a9b0-31f988e69fb6-large16x9_AP18225598773767.jpg


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom