Mzee wa vitumbua unasalimiwa
Umeamshwajee leo ?? Au na wewe kama ABJ bila gimbi asubh mambo hayaendi??
Nmeamka salama za wwUmeamshwajee leo ?? Au na wewe kama ABJ bila gimbi asubh mambo hayaendi??
Kwa taarifa yako nilikuwa kwenye kozi ya mwisho ya upadirishoNmeamka salama za ww
Umeachiwa kifungoni
Muhogo umepatiwaa ??Nmeamka salama za ww
Umeachiwa kifungoni
Bora afungiwe tuu simuelewi mimiNmeamka salama za ww
Umeachiwa kifungoni
Bora afungiwe tuu simuelewi mimi
nafungiwajee au leo hujapata muhogo ??Mfyuuuuuuuuuuuuuu![]()
![]()
![]()
nafungiwajee au leo hujapata muhogo ??
Kwani umeupataa umekutoshaa kweliii??Mfyuuuuuuuuuuuuuu
Eee nimeupata nimeweka na pilipili kichaa na kachumbari+ndimu+limao+ukwaju unataka nawewe nikupeeKwani umeupataa umekutoshaa kweliii??
Mm nataka kitumbua tuEee nimeupata nimeweka na pilipili kichaa na kachumbari+ndimu+limao+ukwaju unataka nawewe nikupee
Mbona vipo vingi huko barabarani si ununueMm nataka kitumbua tu
Sijafikia hatua hiyo ya kununuanunua ....kuna special orderMbona vipo vingi huko barabarani si ununue
Ahaa haya basi subiri hizo special orderSijafikia hatua hiyo ya kununuanunua ....kuna special order
Na ujue namanishaa kitumbua haswa sio vya anko binamu ....ukitambua mm ni padre swafiiiiAhaa haya basi subiri hizo special order
Na ujue namanishaa kitumbua haswa sio vya anko binamu ....ukitambua mm ni padre swafiiii


anko anakulaga vya barabarani kwahiyo?