Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie niandike nini aunt 7yangu wewe uelewe kuwa umelitendea jambo kubwa Jukwaa hili kwa kuweka Je wajua? Labda nisiwasemee wengine, binafsi nimejifunza mengi. asante mno.

..nafikir umejibu swali langu 'je kuna jipya' kwa bandiko lako hili.
 
Asante binamu yangu kwa kushkuru nakupenda mm jipya lipo binamu la je wajua kingine msalimie uncle wako
 
...salamu zimefika na nimekipenda hicho ulichotupia leo (sio nguo) yaani wavuaji wanafunzi wanajivulia kiurahisi tu kama kimini cha polista. Je wajua imekaa poa sana.

Nakupenda pia aunt yangu na unalijua hilo.
 
Shikamoo binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom