Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata maandiko yamenena pombe na iheshimiwe na watu wote jamani
20180809_210951.jpg
 
..asante kushukuru aunt, Mama yenu, ambaye bahati mbaya sana mimi ni mume wake anaumwa yaani hata mimi ninaumwa hapa. Ndo nikaona niandike maneno ya kumfariji apone haraka
Jamani binamu Mungu amfanyie wepesi mama apone na pole na ww kwa kuuguza binamu lazima na ww uumwe binamu mwili mmoja
 
Muziki: Pona Haraka

...unaweza ukadhani huumwi, kila mtu na maradhi yake, maradhi yangu siyo yako na siku zote homa sio malaria , kaa unalijua hili na kama ndo unalisikia leo basi usiache kupokea salamu yangu ya upendo kwako wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kutochusha. Asante Shunie kwa Je Wajua, imeandikwa kwa lugha rahisi sana kiasi kwamba hata ambaye moja haiingii mbili haikai (hayumo humu MF) nikimpelekea asome ataelewa na kuongeza maarifa.

Maradhi yako yasisumbue wengine bila taarifa, ukitaka yatusumbue basi tujulishe mapema, huu ni mwaka tofauti, mwaka wa roho mbaya kama sikupendi na kinyume chake. Hivi ninaandika nini, hiki si kipengele cha muziki na kesho ni furahiday...anyway, tuna tofauti, furahia maradhi yako kama daktari yuko mbali ishi nayo, ni yako na ninakutakia kupona haraka. Nimechanganya na tafasiri unavyoweza, yaani two in 1 kama twaarabu ya MY mlokole wa kiislam, usiniharibie siku yangu nami nitakaa mbali na siku yako

Mtaasisi vip
 
"Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu."

Methali 3: 24

Mungu awatunze usiku huu,Malaika walinzi waweke kituo kila nyumba,Damu Takatifu ya Yesu Kristo itufunike
Usiku Mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom