Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu asante kwa asubuhi tulivu ya leo Ijumaa tarehe 3 Agosti 2018.Tunashukuru kwa kutupa neema ya kuwa wazima na wenye Amani.
Endelea kutupigania Baba,zuia unafiki,dharau ,kejeli na kuumizana kila mtu amchukulie mwenzake kama ni mfano wa Mungu.Wafundishe Watumishi wa Mungu kusimama katika nafasi zao za kuchunga kondoo kwa uaminifu na kumhubiri Kristo kama upendo udumuo.Lugha zao ziwe za kukusanya kondoo na si kutawanya.
Endelea kuzipigania familia zetu kuwa makimbilio na mahali pa Amani.Tusaidie tuzidishe upendo kwa wenza wetu,watoto,wajukuu,ndugu ,jamaa na marafiki ..tuwafundishe kukujua wewe na kuwapenda hata adui.
Bariki kazi za mikono yetu.
Bariki wajane,wagane,yatima na wenye changamoto mbalimbali.
Bariki wasafiri wote majini,nchi kavu,angani waende na kurudi salama.
Tunaomba Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe kukutumikia na kuwajibika bila kuchoka.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo Amen.

IJUMAA NJEMA YA AMANI NA FURAHA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tapatalk_1533125821544.gif
 
Hivi huu uzi haujafa tu bado

Msinishambulie jamani napita tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom