Makapuku Forum

Makapuku Forum

. iko sokoni ,napokea oda
IMG-20180806-WA0014.jpg
 
Natumaini wengi wetu tulikuwa na wikend nzuri. Tunalianza juma jipya kabisa na ninakuandikia wewe Kapuku kukutakia jumatatu na wiki njema.

Kama kuna jipya basi tujulishane baadaye. Usiponiambia nitauliza tena.
Binamu yangu mm shikamoo
 
Makapuku wote, nachukua fursa hii kuwatakia pole za uchovu wa ujenzi wa Tanzania mpya na pia nawapa pole nyingi kwa kuondokewa na Mzee wetu, Mzee Majuto "MFALME WA COMEDY!" Hakika sisi ni wa Mungu na Kwake ni Marejeo yetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom