Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


...unacheka nini? Au anaweza kuwa kama mimi, kijana ana mambo ya kizee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe salaam ya wazee ngoja aje mwenyewe binamu

.....sijasema mimi, kwanza ndo nafika hapa muda huu nimechelewa, akija mwambie namsalimia na salamu ni nusu ya kuonana
 
Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mm niwako
Ungejua sisemi silali kwakovile sihem wewe ni kiboko yangu
Mahabuba nyongo mkalia INI
Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia INI
Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo

Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo
Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh

Uniletee boga ninapomisi burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng'aring'ari
Wanataman furaha yetu hawapendi kushuhudia
tunavizidi kwenda mbali wanataman furaha yetu

Majuto majuto ni Mjukuu nikikuacha
Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wouzeeerrrrr binamu santeeee [emoji8]


...asante kwa mashairi ya wimbo, mazuri hasa ndo mkiwa mnaanza kutongozana
 
Muziki: Kuelekea Furahiday

...hivi unajua kesho ni furahiday? Nakuuliza tu maana napenda kama ulikuwa hujui ujue na ujiandae kuianza wikend kwa utulivu kabisa na bila kusahahu usiache kujibu salamu yangu kwanis salamu siku zote ni nusu ya kuonana. Na kingine kikubwa na ninachokithamini sana, kukujulia khali wewe Kapuku ni jambo zuri.

Muziki sasa, burudika na nikutakie mwanzo mzuri wa wikend na kama ilivyokuwa jana kipengele cha tafasiri unavyoweza hakijakuja maana vacation yangu imegeuka kuwa staycation. Nitakuwa hapa nilipo kwa muda.

 
..sio mbaya pia
IMG-20180802-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom