Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Maana hakuna namna sasaAfe mwenyewe
Maana hakuna namna sasaAfe mwenyewe
happy bd kwa makapukuOne Love le Big boss
Happy Birthday to us
Umoja ni nguvuOne Love le Big boss
Happy Birthday to us
Raisi kasema.......
Ha haa.....
Happy month kapuku forum......
Umoja udumu....jambo lamsingi tukikutana kwengine tupeanee loveee
Pamoja sana mkuu.
Hakuna anaeogopa bali hatutaki kutanguliaMimi kufa siogopi kabisa.
Tatizo lipo kwenye kuwaacha makapuku.
Mimi sijui mkuu.usiogope Youngblood anajua kwanin nahitaji kuongea nawe mkuu
Mbaya zaid unasumbuliwa hadharani mpaka uone aibu kuja MFNadhani nimechelewa, maana siku hizi hata ukiiba pipi lazima utumbuliwe.
SitimbiWapi huko nije mkuu
Aisee mimi nwakinitumbua nahama nchi.Mbaya zaid unasumbuliwa hadharani mpaka uone aibu kuja MF
halafu pia hii ndo thread yenye reply nyingi zaid kuliko viewsSure,love isiishie hapa tu.
Jimena Kuna kitu wanasema unatakiwa umpendelee mwenzako kile ukipendacho kwa nini usitangulie wewe wengine ndo wafatie?Hakuna anaeogopa bali hatutaki kutangulia
duh! ndo naiona saizi hii, safi lakini umeshindaje shem lake..Nzuri peterchoka, Niadje??
Watu ni balaa.halafu pia hii ndo thread yenye reply nyingi zaid kuliko views
Ati no wewe uende kwanzaSasa wewe unataka atangulie nani?![]()
Hapana mkuu.Ati no wewe uende kwanza
Ongea tu mgosi leo niko na YesuNsafi sumbai uhumueze
Hii post asiione jambilo
hilo sahau mkuuYeahhhhhh au nibaki siku zote
Poa poa baba parokoOngea tu mgosi leo niko na Yesu
Hahaha umenifanya nisuse makapuku wee.Nilikumis mzee mwenzangu
Nmehumua wediNsafi sumbai uhumueze
Hii post asiione jambilo
Pastor anadai nachangamka nikiongea kisambaa pekeeNmehumua wedi
Kwanini asiione pasta jambilo?