KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Hebu acheni habari za ajabu.Afe mwenyewe

Wapi huko nije mkuuSisi kwetu sukari ipo yani wala haitakaa ije kutokea ikaadimika, uwe unakuja kunywa chai huku![]()
![]()
![]()
Raisi kasema.......MWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU
1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi
2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)
Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
Basi sawaaabado tunalisongesha gurudumu la ubishi wa maisha
Sijafanya cha maana.Umeifanyia nin nchi hii had ufe?
asali nayo umekosaAcha utani mkuu.
Wapi huko.
Sure,love isiishie hapa tu.Raisi kasema.......
Ha haa.....
Happy month kapuku forum......
Umoja udumu....jambo lamsingi tukikutana kwengine tupeanee loveee
pole sana...Kwa mara ya kwanza NIMEKOSA SUKARI YA KUNUNUA TANGU nizaliwe
One Love le Big bossMWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU
1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi
2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)
Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
mkuu unataka kuwa wa mwishoSiogopi ila sipendi kutangulia
Tutaanza kuchemsha coca cola.asali nayo umekosa
Mkuu sio kwamba ushachelewa kuiba?Sijafanya cha maana.
Hata kuiba sijaiba.
Anaweza kukuingiza choo cha kike.Umeonaee jamaa alisemalo hunabud kuifikilia kwa upande wa pili
usiogope Youngblood anajua kwanin nahitaji kuongea nawe mkuuSawa mkuu ila huyu jambilo ni wa kuuliza mara mbili mbili hauchelew kubadilisha maana![]()
![]()
![]()
Yeahhhhhh au nibaki siku zotemkuu unataka kuwa wa mwisho
Nadhani nimechelewa, maana siku hizi hata ukiiba pipi lazima utumbuliwe.Mkuu sio kwamba ushachelewa kuiba?
Njema shemasi, habari yako kakaMkuu, pasta wangu habar ya usikuuu
Nilikua natania mkuu nakusubilia huko chochousiogope Youngblood anajua kwanin nahitaji kuongea nawe mkuu