G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,179
- 2,443
Mkuu rekebisha hiyo 'nafakiwa' maana kwa tunao penda kusoma kingereza kwa kiswahili itatuondolea uwepoMimi nafakiwa niwe wa mwisho niwazike washirika kwanza
Mkuu rekebisha hiyo 'nafakiwa' maana kwa tunao penda kusoma kingereza kwa kiswahili itatuondolea uwepoMimi nafakiwa niwe wa mwisho niwazike washirika kwanza
Ananiogopa sana cjui y!Nmehumua wedi
Kwanini asiione pasta jambilo?
Paroko kuna Nini kinaendelea hapa...tenaSjatenda dhambi bali naongea naye tu
Hahahaha nimecheka sana. Mkuu mimi ni mtu peace sana.Pastor anadai nachangamka nikiongea kisambaa pekee
Unaongea nini sasa.Sjatenda dhambi bali naongea naye tu
Haya bhana naona umekumbuka ile NIMEMKOJOZA
Nime edit kitambo..thanxMkuu rekebisha hiyo 'nafakiwa' maana kwa tunao penda kusoma kingereza kwa kiswahili itatuondolea uwepo
Hakuna gum mazungumzo ya hapa na paleParoko kuna Nini kinaendelea hapa...tena
Sawa mpendwa, endelea kubarikiwa popote ulipoNime edit kitambo..thanx
Siku zote mimi huwatetea watz wenzangu kwa Yesu..Yesu wasamehe tu shetani ndo kawadanganya...umeona eeUnaongea nini sasa.
Kama si kutuchongea.!!
Mkuu rekebisha hiyo 'nafakiwa' maana kwa tunao penda kusoma kingereza kwa kiswahili itatuondolea uwepo
aisee.. nimecheka sana hii
Amen mkuu.Sawa mpendwa, endelea kubarikiwa popote ulipo
Goodluck makapuku wa Mungu, big up waliowaza kuanzisha uzi, big up wachangiaji walio active maana ndo wanauweka uzi uonekane always kwenye chartMWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU
1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi
2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)
Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
Usinikumbushe yule jamaa hewa.Haya bhana naona umekumbuka ile NIMEMKOJOZA
Sie wazimaMmeshindaje humu wandugu???