Tuko poa brother.Niliwamis makapuko, mko poa!
Huyu gadna naye hajitambui kabisa.
natamani tuamke na breaking news serikali imekamata umeme kwenye maghala ya tanesco
Habari za jioni?

Maisha kumbe huwa yanapinduka kaka....muhindi kabana...eti naye anatumbua!Umepotea sana kaka.
Ulikuwa mzuri ....Habari za usiku Makapuku?
Ule ni udharirishajiHii habari imekuwa ya moto.
Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda.Huyu gadna naye hajitambui kabisa.
TUKO poa.. Habar yako Pastor??Niliwamis makapuko, mko poa!
Naunga mkono tamko LA waziri
Nanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner..Hajitambui hata kidogo mwili mkubwa akili kisoda.
Nataka tu itokee mbela km wallpaper ....Yale maneno hayanogi
Poa sana mkuu...tunapambana..Tuko vizuri mkuu.
Habari yako!
Ha haaaaa hii nimeipenda sanaNanukuu kauli ya lovely son "bichwa kuuubwaaa, ubongo WA mende'" hii inamfaa Gardner..
Basi sawaaUlikuwa mzuri ....
Nikikosea tu kitu kidogo, untie ako lazima anipe Hiyo kauli.Ha haaaaa hii nimeipenda sana
ShkamooPoa sana mkuu...tunapambana..
Nzuri peterchoka, Niadje??za jioni wadau