Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Kwani nimeondoka!!!!??Unaposali
................
Kwani nimeondoka!!!!??Unaposali
................
Kabisa asee kama jina lingalifutwa nakuwekwa lingine ningejua nimepoteaYani ni balaa ukikaa siku moja tu ukirudi unajiona mgeni.
Mimi pia najua saa moja ni usiku.Owkey mm hua nshazoea kiza kikiingia na usiku umeanza
Yaaa huwez sema jioni ikiwa watu hamuonani vizur hadi mtumie taaMimi pia najua saa moja ni usiku.
UliadimikaaaNshakaribia mkuu naona kijiwe kinazid kunoga ukikaa siku tatu ka mwezi hiv
unamisi kitambi bila elimu!
Nahisi mitungi haina kitu![]()
Hizi akili nyingine ni majanga.
Inawezekana, maana si kwa akili hizi.Nahisi mitungi haina kitu
Hahaha umeona matokeo ya BRN!Kujidhihirisha kuwa yeye ni kilaza na hana akili kabisa
Wakati huyo baba anasoma BRN sidhani kama ilikuwepoHahaha umeona matokeo ya BRN!
Pamoja na hayo huyu ni KILAZA WA UKWELIHivi anatumia nini kuandika?? Au Google translator? Manake sio kwa kuchapia kule
Yes lakini ni mtu safi piaPamoja na hayo huyu ni KILAZA WA UKWELI
Nilikumis mzee mwenzanguHuwezi jua anatingisha kiberiti aone kapuku (ingawa unregistered) tutasema nini halafu tumbua tumbua itafuata sijuhi wapi????
Nasikia wanataka kuigawa bure subiri mpaka mgao ukianza mkuuZa mida wakuu, natafuta sukari jamani huku mtaani kwangu imeadimikaa
Presdaa wa VILAZANdio presidaa ila wa wapiii![]()
![]()
![]()