Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
youngblood anajifanya anapendaingekuwa unaa mua,hakuna ambaye angekwenda
youngblood anajifanya anapendaingekuwa unaa mua,hakuna ambaye angekwenda
Kweli kabisa jambilo si mtu mzuri kabisaSawa mkuu ila huyu jambilo ni wa kuuliza mara mbili mbili hauchelew kubadilisha maana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na kweli umekolezwa haswaNdio mkuu vijana wanatumia kaul mbiu ya moto ni ule ule
Kwema mkuu ndio narejea home kutoka vibaruanipoa sana,hofu hko utokako
aisee kule unakabidhiwa tu tiketyoungblood anajifanya anapenda
Shemasi wangu karibu, naona presdaa hanitaki humu
Pamoja sana mkuu.MWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU
1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi
2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)
Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
NzezeeeeNzur mkuu inabid utumie chumv kwa Muda mwrnye nnji akiigawa utapata
Sasa wewe unataka atangulie nani?[emoji23][emoji23][emoji23]Siogopi ila sipendi kutangulia
njema mkuu,ila kwa hali ya sasa ,mtanzania anajikuta cku nzima ametafta hela ya kilo 1 ya sukari tuKwema mkuu ndio narejea home kutoka vibaruani
Nipo salama brother.Mkuu upo salama???
Kwetu daaah sukarii hamnaaa....Sisi kwetu sukari ipo yani wala haitakaa ije kutokea ikaadimika, uwe unakuja kunywa chai huku[emoji3] [emoji3] [emoji3]
aisee...Nzur mkuu inabid utumie chumv kwa Muda mwrnye nnji akiigawa utapata
Afe mwenyeweKufa hapana mkuu, tuendelee kuishi
Mimi kufa siogopi kabisa.youngblood anajifanya anapenda
Mkuu, pasta wangu habar ya usikuuuKwa mara ya kwanza NIMEKOSA SUKARI YA KUNUNUA TANGU nizaliwe
PmMkuu kando ndo wapi hapo?
Binadamu wabaya sana.aisee...
Umeifanyia nin nchi hii had ufe?Kumbe unaogopa kufa.