Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu hapa ni peace sanaHahaha umenifanya nisuse makapuku wee.
Mkuu hapa ni peace sanaHahaha umenifanya nisuse makapuku wee.
Labda tumuombe mchungaji atangulie.Hakuna anaeogopa bali hatutaki kutangulia
Mimi natakiwa niwe wa mwisho niwazike washirika kwanzaHapana mkuu.
Labda wewe mchungaji utangulie.
Umeamua kutubu paroko?Ongea tu mgosi leo niko na Yesu
Karibu tena mkuu.Ha ha huku noma wiki mbiki sijatinga comment 3000 makapuku kiboko
Mhu has wewe unafanya wenzio wasijione free kuongea ngeri na kumwaga makapuku hasa sisi wazee. Please give me respect then I will contribute. Imagine una bibi wa miaka 58-65 yupo nyumbani na ana access to morden technology halafu hana wa kuongea naye na anataka awafikie watoto au wajukuu ingawa siyo wake kwa njia moja au nyingine, what do you think in this modern world people do? You pretend you are talking to your own in order to make your self sane. This is modern world desease.Mkuu hapa ni peace sana
Sio ukatuandalie makaz huko baba parokoMimi nafakiwa niwe wa mwisho niwazike washirika kwanza
Mambo....Hahaha umenifanya nisuse makapuku wee.
Wanaoandaa makao wapo kule tayari YESU NA SHETANI wew jiandae kuelekea aliko mwenyeji wakoSio ukatuandalie makaz huko baba paroko
Ha haaa....haya mgosiPastor anadai nachangamka nikiongea kisambaa pekee
Ero supaMambo....
Makapuku ni shida atiHa ha huku noma wiki mbiki sijatinga comment 3000 makapuku kiboko
Nitumie namba yako nikumwagie heshima za kutosha.Mhu has wewe unafanya wenzio wasijione free kuongea ngeri na kumwaga makapuku hasa sisi wazee. Please give me respect then I will contribute. Imagine una bibi wa miaka 58-65 yupo nyumbani na ana access to morden technology halafu hana wa kuongea naye na anataka awafikie watoto au wajukuu ingawa siyo wake kwa njia moja au nyingine, what do you think in this modern world people do? You pretend you are talking to your own in order to make your self sane. This is modern world desease.
Miss you....Ero supa
MWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU
1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi
2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)
Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
Sjatenda dhambi bali naongea naye tuUmeamua kutubu paroko?