Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Hakika arosto yangu yastaili kwenda rehabuMe sina cha kuwasaidia subirini msimu Wa pili kama alivyosema hajasema lini

Hakika ukweli imekua ngumuMakubwa haya kwahiyo umetafsili hivyo woiiiiiii hapo nimekosea nilitakiwa niandike au loh binamu nitake radhi msagaji hapana aiseee dushe ilivyokua tamu ebu nijilalie mie mama angu nisamehe tu ni duduwasha hilo
Yuko wapi mwenzioMlale salama
Muziki: Heshimu Mazingira
...kiukweli leo naandika nikiwa na masikitiko makubwa, nilipaswa kuandika tangu juzi, so vumilia tu kusoma ninachoandika maana ndicho napenda. Masikitiko yangu ni kwa taifa kupoteza wanajeshi walinda amani kule Congo, inauma sana si kwa sababu tu rafiki yangu mzenji mmoja kapoteza kaka yake lakini pia watu wanaotufanya tuwe salama mipakani mwetu wameuliwa wakiwa wanalinda amani. Bahati mbaya haya ni mambo ya kijeshi hata kuweka mishumaa tu hatukupaswa kuweka. Wanajeshi wetu, nchi yetu tumepoteza watu muhimu na pengo lao ndilo linatufanya tuwe na ari zaidi ya kusimamia amani si nchini tu bali Africa nzima. Huhitaji kupitia JKT au mgambo kuyajua haya, mimi nayajua sababu huwa naangalia sana muvi za komandoo John na komandoo Suzi
Heshimu mazingira, heshima ni kitu cha bure, unalijua hilo. Sio unakuwa kwenye nyumba ya ibada unatafuna jojo (big G) kwa sauti utasema breki za treni. Unaenda kupiga picha kwenye swimming pool umevaa suti na nguo za vitenge na mbaya zaidi umeona kabisa kibao usikojoe hapa, wewe unakunya kisa kuna tofauti ya haja ndogo na haja kubwa.
Muziki sasa, ujue nakufurahia nikikuona hapa na siku zote sichoki kusema kuwa Kapuku forum ni sehemu bora kabisa kwa sababu wewe ni mmoja wa member muhimu.
...wewe unaishi mjini? Mmezoea kula ugali unga wa azam hamjui kuwa mahindi lazima yasagwe ndo upate unga, na yule anayesagisha mahindi anaitwaje?
usifanye wadau hasa BH akanielewa vibaya tafadhari

ZABURI 145
ZABURI 145
18.Bwana yu karibu na wote wamuitao,wamwitao kwa uaminifu.
USIKU MWEMA DAMU TAKATIFU YA YESU IWAFUNIKE![]()
Nimelia sanasana kwa msiba na mwisho siwezi ficha nimecheka we Obe wewe...hatari..RIP WANAJESHI WETU ,WALINDA AMANI...ASANTE KWA MUZIKI
Thanks a lot brother
Thanks brother, mambo vipi
Nuksi gani bro?Duh!! Kijana katekwa tena!! Watoto wa siku hizi nux.
Katekwa na linamo hatokii..
Ahsante sana kakaHbd kwake.. kijana mtukutu.

ShemNyzgei wa Linamo
Acha wivuUshindweee kamisiiiii Nyagei
Duh!! Basi wacha niongeze kufanya ibada, mpaka mtukutu nyagei katulia, dunia kweli inaelekea mwisho.Ahsante sana kaka
Ila nimetulia nikatulizana![]()
