Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Anko za monieetumosa umedamka Lukwili kabla jogoo hajanya..
Za asubuh wapendwa
Anko za monieetumosa umedamka Lukwili kabla jogoo hajanya..
Za asubuh wapendwa
Jirani shululu na shemela tumosa, vipi alarm imewashtua nin au ndio mmemaliza kuibariki siku na kwichi kwichi ya asubuhi..![]()
![]()
wameamshwa na mzee wa heater
Aminaa mamaBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii njema sana ya leo IJUMAA 8,DESEMBA 2017 Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunakuomba, utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali
Tunaomba Utulinde siku ya leo na Utukinge na ajali na hatari zote za mwili na za roho Ukawatume Malaika Walinzi Kila tunapokuwa Baba na Utupe nguvu ya kukutumikia wewe.
Wabariki watu wote katika Familia zetu, Wasaidizi wetu, wanandoa ,Watoto, Ndugu Jamaa ,majirani na Marafiki Damu ya Yesu itufunike.
Walinde wenye mahitaji na shida mbalimbali Ponya Wagonjwa Fariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa na wote Walioumizwa na kukata tamaa wape Tumaini Baba.
Walinde Wasafiri wote Majini ,Nchi kavu, Angani uwe Dereva Utufunike kwa Damu yako ya Thamani Tutokako na Tuendako
Bariki kazi zote za mikono yetu Ukaonekane kwetu katika Ajira ,Ujasiriamali Biashara tupate riziki halali na tukutumikie vyema.
Mungu wetu na Baba yetu tunakuomba utusaidie tuwe na Upendo wa kweli tukawe msaada kwa wenzetu kimwili na kiroho na tusipungukiwe Baba tuitende kazi yako bila kuchoka wala kukatishwa tamaa..Tunayo mipango mingi mbele yetu Baba tunaomba UKATUFANIKISHE ,kila jambo tulilopanga lifanyike kwa utukufu wa jina lako takatifu
Asante Baba kwakuwa Unatupenda na Utatutendea sawasawa na Mapenzi yako.
Tunaomba haya yote kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu amen.Damu Takatifu ya Yesu ikanene mema kwetu sote Amen.
SIKU NJEMA, YENYE BARAKA TELE![]()
Safi, vipi wewe ankoo!?Anko za moniee
Walikuwa wana heat miili yao kwa heater za miilini mwao..![]()
![]()
![]()
wameamshwa na mzee wa heater

Happy bday kwakeeHERI YA SIKU YAKO KUBWA MWANANGU NYAGEI SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWAKO..MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE FURAHA UMTUMIKIE MUNGU DAIMA AKUPE HEKIMA NA UISHI KWA FURAHA NA AMANI AKUPE HAJA YA MOYO WAKO MAMA LOVES YOU SO MUCH ENJOY YOUR BIG DAY MY SON..LOVE YOU GOD BLESS YOU![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Eat,Sing,Dance Play to the fullest .....
![]()
Ulipo ,Tupo my Son Feel good
![]()
![]()
Na kiheat cha alfajir na chenyewe hakijambooWalikuwa wana heat miili yao kwa heater za miilini mwao..
Sio wa jana anataka kuhitishwa na maji ya heater..![]()
![]()
![]()
Anko niko poaa kabisa hope usiku ulikuwa mzuri kwako na mito yakoSafi, vipi wewe ankoo!?
Ubarikiwe sana my sonAminaa mama

Zaburi : Mlango 35Karibu sana na Mungu akubariki sanaMiaka yote JF nimekosaje kuifahamu jukwaa hili? Dah!

Asante sana kwa magazeti na Mungu akubarikiNipo mama mchungaji, mimi pia nimewamiss sana, majukumu yamebana kiasi
Hakiongopi kile, linaheatisha kweli kweli..Na kiheat cha alfajir na chenyewe hakijamboo
Namshukuru mungu kwa hiloo.. mito inanipa raha, nina mpango wa kuongeza mingine tena..Anko niko poaa kabisa hope usiku ulikuwa mzuri kwako na mito yako
Muda haukufika tuu mkuu.Miaka yote JF nimekosaje kuifahamu jukwaa hili? Dah!
Wapendwa tuwe makinibsana tunapoandika haya majina kwa kumaanisha na kuheshimu kama tunamzungumzia MUNGU BABA MWENYEZI ALIYETUUMBA TUONESHE KUMHESHIMU HATA TUNAPOANDIKA NA KUMTOFAUTISHA NA miungu MINGINENamshukuru mungu kwa hiloo.. mito inanipa raha, nina mpango wa kuongeza mingine tena..
Mungu
mungu
Bwana
bwana
Yesu
yesu
Ahsante mama mchungaji, lakin kwanini nimtofautishe na miungu mingine wakat mie najua hakuna mungu zaidi yake, kwahyo nikiandika MUNGU au Mungu tayar nakuwa nimekili kuna mungu wengine kitu ambacho si kweli, MUNGU ni mmoja, awe mungu,Mungu au MUNGU mie ninapoandika mungu nafsi yangu imekuwa imemmaanisha mungu huyo huyo mmoja kikubwa ni nia na yakini tu dada yangu mpendwa.Wapendwa tuwe makinibsana tunapoandika haya majina kwa kumaanisha na kuheshimu kama tunamzungumzia MUNGU BABA MWENYEZI ALIYETUUMBA TUONESHE KUMHESHIMU HATA TUNAPOANDIKA NA KUMTOFAUTISHA NA miungu MINGINE
MUNGU...Mungu
mungu
BWANABwana
bwana
![]()
YESUYesu
yesu
![]()
Kama tunamaanisha huyu MUNGU ALIYETUUMBA
SHALOM
Hata kwenye biblia wametifautisha wanapoandika khs Mungu na miunguAhsante mama mchungaji, lakin kwanini nimtofautishe na miungu mingine wakat mie najua hakuna mungu zaidi yake, kwahyo nikiandika Mungu tayar nakuwa nimekili kuna mungu wengine kitu ambacho si kweli, mie ninapoandika mungu nafsi yangu imekuwa imemmaanisha mungu huyo huyo mmoja kikubwa ni nia na yakini tu dada yangu mpendwa.