shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kijana vip, uko poa lakiniThanks a lot brother
Nami nilikuwa offline leo ndio naonekana
Kijana vip, uko poa lakiniThanks a lot brother
Nami nilikuwa offline leo ndio naonekana
Salaam makaveliNawapenda kinyama yaani.
Duh!! Basi wacha niongeze kufanya ibada, mpaka mtukutu nyagei katulia, dunia kweli inaelekea mwisho.![]()
![]()
![]()

Tu wazima kabisa jiraninatumai wote mmeamka salama wa salmin, tumshukuru mungu kwa hilo, hata kama hujaamka salama pia mshukuru pia, huo ni mtihani na chochote anachokupa mwenyezi mungu huwa ni mtihani aidha umshukuru ama umkufuru, tusiwe wenye kumkufuru mola wetu mlezi ambae ametupa neema nyingi nyingi.
Niwatakie Asubuh njema na siku njema makapuku wote nawapenda saana.