Vipi hali ndugu yangu!?Salaam makaveli
Mie namshukuru mungu tu jirani.Tu wazima kabisa jirani
Za upande wako
Asante na asubuhi njema jio
Shukrani jirani...TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Makaveli

Nawe pia jirani.View attachment 650680Asubuhi njema wadau
Shukrani jirani...
Leo ni mwendo wa kukurushia magazeti kupitia dirishani jirani, nasoma nikimaliza, narushia dirishani. Sina haja kusoma vichwa vya habari
Atakaesoma kichwa cha habari halaf hela ya kununulia gazeti kanunua maandazi aniambie nimsimulie, habari zote ziko hapa(kiganjan)
![]()
![]()
![]()

Pamoja sana jiraniNawe pia jirani.
Teh teh teh!!! Hapo ndio sala ya bikira maria inasomwa bila ya kuwa na nia.Kitakachofuata hapa nini?![]()

Kazi gani tena iyoAcheni kukoroma bhana, nina kazi