I Will try, but they miss you more than you can imagine!!!!! Hope watanielewaWale malaika wangu wakiweza kunichukia basi hata mbinguni nitakuwa na Doubt...
Waambie, "dady loves you million times"
Yamekuwa hayo tena??? Alhamis kote hukoooNaruuuuuuudi Alhamis jioni bhanaa.
Wewd unadhani zile bata tunazokula zinatoka wapi..? Kama si porini huku?
Hana wadhifa wowote ni ben 10 alishajichanganyaga kuweka pic yake humu chit chat na user name yake ya insta
....kama wasiponilipisha je, wakataka nisaidie kuviokota tu na kuvipanga, hutonisaidia jamani!?
Kwaiyo unapitia post hadi post we kiboko
Ukienda kukojoa ikulu niite na mie twende wote.....sio kigodoro tu, nitaenda msikitini na kutumia sipika za masijid kutoa tangazo la na nitaenda serikali ya mtaa na kushusha bendera nusu mlingoti halafu naenda kwenye geti la pale ikulu nakojoa
Halafu narudi kambini hapa mizinga kunywa bia za bei chee , nitakukaribisha maana sipendi kabisa umuache anko wangu.
Nitakosa Cha kuongea jamani, usifanye hivyo
Ha ahahahahaha! Nimekumbuka lile tangazo la Nido, huyu ni mama yetu na haya ni maziwa yetu.
Hebu muite BH nina shida naye ya faragha ( usiulize maswali)
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1233349/huo haponitag huo Uzi plz..
Huyu nahisi ndio yuko form 4 tuKweli ww kaben 10mwenzio kamzoea Lee wake na kitambi mbonyeo
Mbona ni mzuri tuKumbe aliweka acha nicheke kisambaaSakayo ukuje umuone muhandsome wako uliyekua unamsifia ujue we sawa na mdogo wangu wa kiume wa mwisho
Miaka 19 ndio mkubwa?!Ha haa mi sio kabe10 mi mkubwa ety
kwa hali hii kuna haja ya members kuweka pcha zao hapa wengine itakuwa vtoto vya form two
Miaka 19 ndio mkubwa?!