Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
SimtakiiiiiiiAtakaa ubarazaniii
SimtakiiiiiiiAtakaa ubarazaniii
Tukaifate 65Tar nzuri wapi nimefulia mie
Kwan shem alikufanyia nn kibaya anko wetu?? Hujui tu anko wetu mzuri sanaSimtakiiiiiii
65 ndio nini tenaTukaifate 65
Jaribu bahatiHapana aiseee mawazo bora nijinywee heinken zangu si vinacare vinajua wanavyofanya wanatengeneza mazingira yao
Anajua mwenyewe anavyonifanyiaKwan shem alikufanyia nn kibaya anko wetu?? Hujui tu anko wetu mzuri sana
Ata sijui65 ndio nini tena
Nitake radhi ben 10 hana nafasi kwanguJaribu bahati
Kumbe mnajuanaAnajua mwenyewe anavyonifanyia
Hivi huyo ni ben 10 ..ukute mtu na wadhifaaaNitake radhi ben 10 hana nafasi kwangu
Hana wadhifa wowote ni ben 10 alishajichanganyaga kuweka pic yake humu chit chat na user name yake ya instaHivi huyo ni ben 10 ..ukute mtu na wadhifaaa
Hahahahahahahahahahaha kumbe unaongea with vivid.....Hana wadhifa wowote ni ben 10 alishajichanganyaga kuweka pic yake humu chit chat na user name yake ya insta
Yaan binamu huyu hata nimkute sehem kadondosha vitu vya watu hana hela akiii simlipii
Obe ishia nae huko huko ila na mvua ya usiku sijui kama kunapitika huko nje
Marahaba za uzima ubarikiwe karibu sanaShikamoo mama
Sijashinda biko mie
Kwan shem alikufanyia nn kibaya anko wetu?? Hujui tu anko wetu mzuri sana
Ben10 ndo nani tena?Nitake radhi ben 10 hana nafasi kwangu
....kama wasiponilipisha je, wakataka nisaidie kuviokota tu na kuvipanga, hutonisaidia jamani!?

MchepukoBen10 ndo nani tena?