Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Ndo nashangaa au ukute bwana wake husna wa kitambo...ha hahhahaha, ila anaonekana ana data za kutosha, kamjuaje husna muba kwanza?
[emoji41]
Mama na kule nimekuona[emoji41]
Nimemuogopa yule mtu,sio wa kawaida...Mungu aingilie kati tuMama na kule nimekuona
T Wa s - tumosa Wa shululuPoa T wa S,za jumapili
NimekuhamuSawa
Anataka nn?!Jamaaaaani Sakayo anataka...!
Nimpe Nisimpeeeeeeee[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Ngao ya maji ni kama ngao ya kidongeNaomba kuuliza lyon lee ndo lee empire?
[emoji15] [emoji15] baba d Wa shunieNdio
Kuna nini
Bombadieeeeeeeeeeer!Anataka nn?!
Km ni dushe MPE tu hiyo ni haki yake hiyo
[emoji15]Humu kuna mtu nampenda anapenda kuandika post anaishia na 'ujue'
Kwanini umesema hivyoNgao ya maji ni kama ngao ya kidonge
Kweli nampenda 'ujue' sana[emoji15]
Kunywa sayona mpenzi obe atalipaTaja jina ajue unampenda ndio nyie unampenda mtu unakufa na tai shingoni mwenzio anazama pm huko anaimbisha anajilia mautamu au we domo zege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya ww mdada sijui mkaka unapendwa huku na shedede mana unaweza ukawa unampenda mdada na avatar yake kumbe ni dume mwenzio mambo ya jf hayo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]'Ujue' nilikuwa na shida na wewe sema mmeo akanikandia
Ila 'ujue' kivyovyote vile nina-mpenda sana ...
'Ujue' would you be my lover?
Mungu hapendiNimekuhamu
Mungu hapendi nikuhamu jamanii?Mungu hapendi
Watoto wangu wazima kwanza?Mungu hapendi